Free Web Hosting Provider - Web Hosting - E-commerce - High Speed Internet - Free Web Page
Search the Web

ECT | BIOGRAPHY | SPECIAL 10X | IMAGE 1 | IMAGE 2 | MEDIA | LYRICS | HOLLA BACK

EAST COAST TEAM LYRICS


MSANII : KING CRAZY GK FEAT. PAULINE ZONGO
WIMBO : TUPO PAMOJA


Verse:- I

Miaka kibao ilishakatika sauti yangu haikusikika
Dj's ninawashukuruni nilipoanguka mkanibeba
Kenya, Uganda na Tanzania ninawashukuruni sana
Kuonyesha nguvu upendo na nia
sasa nina shout it out kwa waandaaji wa muziki
Tank's radio presenter's ninawashukuruni ma-promotaz
Raia mlionikubali isitoshe vyombo vya habari
Juhudi zenu nimeziona GK niko sokoni uliza copy dukani
Ninawashukuruni wapenzi wa muziki wa kizazi kipya
Thanx brother Wisdom sintoweza kuwalipa fidia
Enyi watanzania kwa thamani ya upendo wenu ni zaidi ya chochote
Kwangu bado sijafika GK ninahitaji nguvu za ziada
Either kama nikifika nitahitaji zenu jitihada
Thanx brother Goodlucky, thanx Mr Mafuru
Joseph Kusaga na David Minja
Amour Hassan, Carren na Salehe Ally
Much respect kwa Baba Ubaya na Mugeta Mwenda
Selemani na James Nindi Rugee ongoza jahazi
Askari shupavu Mottie keep it real
Tripod media African Picture2 na Darhotwire online aaah
You know what? tupo pamoja 4life

Kiitikio
Daima tupo pamojax2
Hakuna kitu kitakachotutenganisha
Daima fani itazidi kutuunganisha
Popote tuna amini sisi tutafika
Katika shida na raha sitowaachaaa.

Verse:- II

Ninawashukuruni sana waandishi wa habari wa magazeti
Wapenzi wa muziki huu mola awape mwangaza
Ninawashukuruni mapromotaz wamiliki wa vyombo vya habari
MJ Record, Bongo Record na Mika Mwamba
East Coast Team, Prof Ludigo na John Mahundi
Cloud's FM, Radio One, Magic na Kiss, Radio Free
East Africa thanx a lot ninawashukuruni sana
Radio Uhuru, Times FM, na Channel 5
Mawingu record Papa Luving na Abdiel Mengi
Ninawashukuruni mnaonipenda jina langu linapanda
Heshima yangu inasambaa milele sikati tamaa
Mola uniongeze njia wasionipenda wananipenda
Niliketi kizani sasa niko mwangani
Niite GK a.k.a Bokasa wenye chuki wamekwishanasa
Ninawashukuruni zaidi ma-dj's wote ndani ya bongo
DJ Maliz Dj Venture DJ Skill'z J' Sindii
Much respect kwa White kokote popote sitowasahau
Godwini Gondwe Sebastian Maganga Josh na Abubakari Sadiki
DJ Juice DJ Nelly DJ Case Muli Bring' bling' Dj Sama
Na John Dillinga Amina Chifupa na G' Habash
Kidboy na DJ Majay yoh asante sana!

Kiitikio
Daima tupo pamojax2
Hakuna kitu kitakachotutenganisha
Daima fani itazidi kutuunganisha
Popote tuna amini sisi tutafika
Katika shida na raha sitowaachaaa.

Verse:- III

Siku zinakwenda miaka kibao nayo inapita
MC wanakuja wanapanda wanatamba kisha wanapita
Lakini tokea 97 GK sasa ni 2003
Bongo bado ninaiwakilisha kaka sio kazi ndogo
GK nimesota sana mpaka kufikia hapa nilipo
GK nasema thancx God kwani wengi tulikuwa nao
Lakini sasa wamekwisha potea baadhi wako mitaani
Na wengineo tumekwisha wazika
Ninasema rest in peace D Rob na James Dandu
Adili na masela wote mliofariki katika ku-stragle
Ninawashukuruni sana watanzania bara na visiwani
Masela wote masikani na wabongo mlioko mamtoni
kwa jinsi mlivyotu-support Gk sikutegemea
Wema na ukarimu wenu kokote nitauenzi
Na wala kamwe sitokuja kuwaacha katika shida na raha
---We mwenyezi Mungu niongoze njia malengo yangu yatimie
Japo maadui ni wengi tu na kila kona wametapakaa
Lengo lao ni moja tu East Coast kuisambaratisha
GK kunimaliza na atakama ikibidi kunitoa roho
Japo kosa langu kwao silijui
Dear mama uniombee kwani GK niko njia panda
Sijui ni nani tena wa kumuamini kwani wengi ni washkaji zangu
Mdomoni ninacheka nao lakini mioyoni kumbe ni nyoka
Wenye sumu kali wanatamani kunioka GK wakiwa wananikunja
Kwenye sanda afu wananizika
Na hapo ndipo roho mbaya zitakaporidhika
Anyway they are feck nigga'zzzz!

Kiitikio.
Daima tupo pamojax2
Hakuna kitu kitakachotutenganisha
Daima fani itazidi kutuunganisha
Popote tuna amini sisi tutafika
Katika shida na raha sitowaachaaa.



xxxxxxxxxxxxxxxxxxx

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
 

 

 
 

   













Search
for