| |
|
BONGO ARTIST LINX |
|
|
|
AMA ZANGU AMA ZAO
|
|
|
|
|
|
|
|
 "KWANZA KAZI KISHA PESA ALAFU NDIO MATANUZI"
"Snare Ngojea EAST COAST AMINIA" Adam Snare AKA Snare kutoka ECT aibuka na Track yake mpya inayokwenda kwa jina la KAZI PESA MATANUZI iliyofanyiwa MJ RECORDS chini ya Producer MASTER J, Ambayo ni moja ya Track zake zitakazomiminika kama mvua, Snare ambaye yupo kwenye mazoezi makali ya Album yake ya kwanza ambayo itaibuka hivi karibuni. Snare ambaye alitesa katika kundi lake la zamani CBM CREW ambalo baadae lilibadilishwa na kuitwa SOG amabaye alikuwa na maswahiba zake BUFF G na AY.
|
|
|
|

Real: GK, AY, SNARE, BUFF G & O TEN Front: IMAM ABBAS & POLYN ZONGO
 "HII KWA WOTE" BUFF G
BUFF G anakuja baada ya kimya cha muda mrefu, Sasa anakwambia "Hii Kwa Wote' ni moja kati ya Track zake zinazokuja kama mvua. Ndani ya Track hii utasikia sauti ya mwanadada Polyn Zongo ambaye anasimama kwenye Chorus pia Utasikia sauti ya A Y, GEE KAY na SNARE. Utakumbuka basi aliwahi kutisha na kibao cha "MY GIRLFRIEND" alipokuwa CBM CREW.
 AY NA RAHA KAMILI
A Y aka Mzee wa Commercial anatarajia kwenda tena Kampala nchini Uganda Kukamilisha video yake ya "Raha Kaimili (remix). Katika safari hiyo ambayo ataambatana na Adam Snare, AY ambaye anatesa na track yake mpya ya "YULE" aliyetengenezea jijini Kampala chini ya PAPARAZI INC. Ay msanii wa East Coast Team ambaye amepania kutambulika kimataifa kwa hivi sasa Track yake ya "YULE" ambayo inachezwa katika Television ya Channel O na SABC za South Africa.
 |
|
|
|
|
|